Wimbo huu ni Maalum kwa ajili ya Taifa letu la Tanzania kusisitiza juu
ya urithi wetu wa Amani na Upendo.Umechanganyika wasanii wakubwa na
wadogo katika kuleta ladha.Wakati tunaelekea kwenye uzinduzi wa
maadhimisho ya urithi tarehe 1 september 2018 Makao Makuu ya nchi huu
ndiyo utakuwa Mwanga na Muongozo wetu wa sherehe za urithi.
Wimbo unaitwa/Nchi Yangu
DOWNLOAD
Wimbo unaitwa/Nchi Yangu
DOWNLOAD



No comments:
Post a Comment